LEO Juni 12,2025 Waziri wa Fedha,Mheshimiwa Dkt.Mwingulu Nchemba atawasilisha mbele ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2025/2026.
📍Bungeni, Dodoma
🕓 Saa 10:00 jioni
#BajetiYaMaendeleo
#BajetiKuuYaWananchi
