Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kushiriki katika Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC)
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali itashiriki kwenye Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) katika Viwanja vya Maturubai Mbagala jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 16 hadi 25 Juni, 2025.Wananchi wote mnakaribishwa.