Picha:Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika Kampeni ya MSLAC inayoendelea Dar

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) akipata maelezo kuhusu shughuli mbalimbali zinazotekelezwa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kutoka kwa Wakili wa Serikali wa Mkoa wa Dar es Salaam, Bi. Mwema Punzi wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) tarehe 16 Juni, 2025 jijini Dar Es Salaam.
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali inashiriki katika Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) kwa kutoa huduma za Ushauri wa Kisheria, Elimu ya Sheria, Utatuzi wa Migogoro na Kushughulikia Malalamiko.
Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (MSLAC) Jijini Dar es Salaam imezinduliwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) na inafanyika kuanzia leo tarehe 16 hadi 25 Juni, 2025.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news