Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 16,2025

NA GODFREY NNKO

LEO Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1888.33 na kuuzwa kwa shilingi 1906.65 huku Fraka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3163.09 na kuuzwa kwa shilingi 3193.15.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 16,2025 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3478.76 na kuuzwa kwa shilingi 3514.85 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.79 na kuuzwa kwa shilingi 1.84.

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.68 na kuuzwa kwa shilingi 0.72 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.86 na kuuzwa kwa shilingi 0.86.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2570.96 na kuuzwa kwa shilingi 2596.67 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8408.98 na kuuzwa kwa shilingi 8476.43.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today June 16th,2025;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED700.1335707.0194703.576516-Jun-25
2ATS164.9786166.4404165.709516-Jun-25
3AUD1666.49651683.42121674.958816-Jun-25
4BEF56.275856.773956.524916-Jun-25
5BIF0.86570.86130.863516-Jun-25
6CAD1888.32931906.65251897.490916-Jun-25
7CHF3163.0913193.15053178.120816-Jun-25
8CNY358.0126361.5626359.787616-Jun-25
9DEM1030.1561170.98991100.572916-Jun-25
10DKK397.1577400.9992399.078416-Jun-25
11ESP13.644113.764513.704316-Jun-25
12EUR2961.48932991.62352976.556416-Jun-25
13FIM381.8107385.194383.502416-Jun-25
14FRF346.0848349.1462347.615516-Jun-25
15GBP3478.76653514.85253496.809516-Jun-25
16HKD327.5317330.8028329.167316-Jun-25
17INR29.846630.125929.986316-Jun-25
18ITL1.17241.18281.177616-Jun-25
19JPY17.840318.017417.928816-Jun-25
20KES19.929920.06719.998516-Jun-25
21KRW1.87651.89471.885616-Jun-25
22KWD8408.97628476.43148442.703816-Jun-25
23MWK1.37761.4831.430316-Jun-25
24MYR605.9299611.2688608.599316-Jun-25
25MZM39.89740.233540.065216-Jun-25
26NLG1030.1561039.29161034.723816-Jun-25
27NOK258.4062260.9011259.653616-Jun-25
28NZD1546.43271562.6761554.554316-Jun-25
29PKR8.63359.17558.904516-Jun-25
30RWF1.79881.83861.818716-Jun-25
31SAR685.3519691.4681688.4116-Jun-25
32SDR3506.24873541.31123523.7816-Jun-25
33SEK269.7415272.3789271.060216-Jun-25
34SGD2004.33492024.06272014.198816-Jun-25
35UGX0.68580.71950.702616-Jun-25
36USD2570.96042596.672583.815216-Jun-25
37GOLD8841789.8988931765.7998886777.84916-Jun-25
38ZAR142.9693144.3629143.666116-Jun-25
39ZMW103.2642107.3004105.282316-Jun-25
40ZWD0.48110.49080.48616-Jun-25

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news