ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Sala ya Eid Al Adha iliyosaliwa Masjid Taqwa, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar leo Juni 7,2025.
















