Tuwe na maono ya kuiona kesho yetu-Dkt.Biteko

DODOMA-Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewataka Wafanyakazi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake kuwa na maono ya kuweza kuona mbali hali itakayowasaidia katika utendaji wa kazi na kupata suluhisho ya changamoto zinazoweza kutokea kabla ya changamoto hizo kutokea.
Dkt.Biteko ameyasema hayo Julai 28,2025 katika viwanja vya Jamhuri Jijini Dodoma, wakati akizungumza na watumishi wa wizara na Taasisi zake wakati wa kufunga Bonanza la michezo mbalimbali lililohusisha Wizara ya Nishati na Taasisi zake.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news