Wakili Mkuu wa Serikali ateta na watumishi wa ofisi yake jijini Arusha

Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kufungua mkutano mkuu wa watumishi wa Ofisi hiyo jijini Arusha.
Wakili Mkuu wa Serikali,Dkt.Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mawakili wa Serikali Wafawidhi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kufungua mkutano mkuu wa watumishi wa Ofisi hiyo jijini Arusha.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua mafunzo kwa watumishi hao yaliyofanyika jijini Arusha.
Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo akitoa neno la utangulizi wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali yaliyofanyika jijini Arusha.
Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano mkuu kwa watumishi wa Ofisi hiyo jijini Arusha.
Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (hayupo pichani) wakati akifungua mkutano mkuu kwa watumishi wa Ofisi hiyo jijini Arusha.
Mkufunzi wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Dkt. Hosea Njovango akitoa mada kuhusu Maadili ya Utumishi wa Umma kwa watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali jijini Arusha.
Daktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dkt. Garvin Kweka akitoa mada kuhusu namna ya kukabiliana na msongo wa mawazo wakati wa mafunzo kwa watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali yaliyofanyika jijini Arusha.
Mratibu wa Kusimamia Magonjwa yanayoambukiza wa Ofisi ya Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Dkt. Aisha Zukheri akitoa mada kuhusu Magonjwa yanayoambukiza kwa watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali jijini Arusha.
.
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (aliyeketi katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kufungua mkutano mkuu wa watumishi wa Ofisi hiyo jijini Arusha

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news