HomeHabari Waziri Mkuu ahani msiba wa mdogo wa Waziri Lukuvi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Juni 3, 2023 amehani msiba wa marehemu Mtwa Xaviery Lukuvi ambaye ni mdogo wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,Bunge na Uratibu , William Lukuvi (kulia), nyumbani kwa marehemu, Mbezi Beach jijini Dar es salaam. Tags Habari Ofisi ya Waziri Mkuu William Lukuvi Facebook Twitter