Waziri Mkuu mgeni rasmi katika jukwaa la vijana na mazingira

DAR-Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 03, 2025 ni mgeni rasmi katika jukwaa la vijana na mazingira linalofanyika katika ukumbi wa maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Jukwaa hilo la vijana na mazingira lina malengo ya kuwaunganisha vijana kutoka sehemu mbalimbali nchini, kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya mazingira pamoja na kuwawezesha kushiriki kikamilifu katika kubuni na kutekeleza mikakati ya kutatua changamoto za mazingira nchini.
Tukio hilo ambalo ni sehemu ya maadhimisho kuelekea Siku ya Mazingira Duniani, limeandaliwa na Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) kwa kushirikiana na Taasisi ya Africa Carbon Agency.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news