MWANZA-Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Julai 22,2025 amehani msiba wa Baba Mzazi wa William Ngeleja, Mzee Mganga Ngeleja aliyefariki Julai 16, 2025 na kuzikwa Julai 21, 2025)Kijijini kwake Bitoto, Wilaya ya Sengerema, mkoani Mwanza.



