NAIROBI-Julai 4,2025 Rais wa Jamhuri ya Kenya, Dkt.William Ruto amesema, hatamuomba msamaha yoyote kwa kitendo cha yeye kujenga kanisa Ikulu,pia amewashangaa wanaoanza kuleta vioja ambavyo amesema haviwezi kumkwamisha.a."
"Mimi ninamuamini Mungu, sitaomba msamaha kwa kujenga kanisa, tutajenga Kanisa la Mungu, shetani akasirike afanye anavyotaka, naambiwa hata kwa magazeti eti leo mtu anasema najenga kanisa Ikulu, ni kweli najenga kanis

Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo