Rais Dkt.Mwinyi awaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewaapisha Mkuu wa Mkoa na Wakuu wa Wilaya aliowateua hivi karibuni.
Hafla hiyo imefanyika tarehe 3 Julai 2025,Ikulu ya Zanzibar.Walioapishwa ni;

1. MHE. HAMIDA MUSSA KHAMIS, KUWA MKUU WA MKOA KUSINI UNGUJA.

2. MHE. CASSIAN GALLOS NYIMBO, KUWA MKUU WA WILAYA MAGHARIBI A UNGUJA

3. MHE. RAJAB ALI RAJAB, KUWA MKUU WA WILAYA YA KATI UNGUJA

4. MHE. MIZA HASSAN FAKI, KUWA MKUU WA WILAYA MKOANI, PEMBA

5. MHE. MOHAMED ALI ABDALLAH KUWA MKUU WA WILAYA MJINI, UNGUJA

6. MHE. AMOUR YUSSUF MMANGA KUWA MKUU WA WILAYA MAGHARIBI B, UNGUJA.
Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, vikosi vya Ulinzi na Usalama, pamoja na viongozi wa dini, wakiongozwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news