Yanga SC yamshukuru Rais Dkt.Mwinyi kwa moyo wa upendo
"Uongozi wa Young Africans Sports Club unatoa shukrani za dhati kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwa zawadi ya shilingi milioni 100 kutokana na mafanikio makubwa tuliyoyapata Msimu wa 2024/25."