Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imezindua Kikokotoo cha Mikopo kinachopatikana katika tovuti yake ya www.bot.go.tz (https://loan-calculator.bot.go.tz/ ) kwa kutumia kikokotoo hiki utaweza kukadiria kiwango cha marejesho ya mkopo kwa kila mwezi,kuelewa athari za viwango vya riba na kupanga matumizi yako ya kifedha kwa ufanisi zaidi;
