DODOMA-Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tannzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwa katika ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) mkoani Dodoma akichukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi hiyo kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, mwaka huu.






