Magazeti leo Agosti 30,2025

Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania (Twiga stars), Opah Clement ametambulishwa kama mshambuliaji mpya wa timu ya Wanawake ya SD Eibar inayoshiriki ligi kuu ya wanawake nchini Hispania kwa uhamisho huru akitokea Juarez Femenil ya Mexico.
Opah anakuwa mtanzania wa kwanza kucheza Ligi Kuu ya Uhispania, huku akiwa mtanzania wa pili kucheza katika ligi kubwa barani Ulaya nyuma ya Aisha Masaka anayechezea klabu ya Brighton ya ligi kuu ya England.








Nahodha huyo wa Twiga Stars mwenye umri wa miaka 24 amewahi kuvitumikia vilabu vya Simba Queens, Kayseri Kadin na Besiktas za uturuki na Henan Jianye ya China kwa nyakati tofauti.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news