KAMISHNA wa Uhifadhi Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Bw. Abdul-razaq Badru amewataka askari wa uhifadhi katika Pori la Akiba la Pololeti Wilayani Ngorongoro kuzingatia maadili, weledi na matokeo ya kazi wanazozifanya ili kulinda hadhi ya jeshi hilo.

Kamishna Badru ametoa rai hiyo alipokuwa katika ziara ya kikazi na kuzungumza na baadhi ya askari hao alipotembelea Pori la Akiba la Pololeti kukagua hali ya uhifadhi na ulinzi katika eneo hilo.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo











