Mgombea Urais kupitia Chama cha CCK achukua fomu za uteuzi INEC


Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Kijamii (CCK), Mhe. David Daud Mwaijojele. Mgombea huyo waliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Masoud Ali Abdala (kushoto) alichukua fomu hizo Agosti 12,2025 ambapo Tume inatarajia kufanya uteuzi Agosti 27, mwaka huu. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkakabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Kijamii (CCK), Mhe. David Daud Mwaijojele. Mgombea huyo waaliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Masoud Ali Abdala (kushoto) alichukua fomu hizo Agosti 12, 2025 ambapo tume inatarajia kufanya uteuzi Agosti 27,mwaka huu. Kualia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima kizungumza.
Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Kijamii (CCK), Mhe. David Daud Mwaijojele.
Mgombea Mwenza, Mhe. Masoud Ali Abdala
Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Kijamii (CCK), Mhe. David Daud Mwaijojele akiwana na Mgombea Mwenza, Mhe. Masoud Ali Abdala (kushoto).
Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Kijamii (CCK), Mhe. David Daud Mwaijojele akielekezwa na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg Ramadhani Kailima namna ya kujaza kitabu.
Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Kijamii (CCK), Mhe. David Daud Mwaijojele akisaini kitabu.
Mgombea Mwenza, Mhe. Masoud Ali Abdala akisaini kitabu.
Wajumbe wa Tume pamoja na Menejiment wakiwa katika zoezi la utoaji fomu.
Wanachama wa CCK wakiwa katika utoaji fomu.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news