Mgombea Urais kupitia CUF achukua fomu za uteuzi INEC


Mgombea wa Kiti cha Rais kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo na Mgombea Mwenza, Mhe. Husna Mohamed Abdalla wakionesha mkoba wa fomu baada ya kukabidhiwa na tume Agosti 13, 2025.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo. Mgombea huyo aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Husna Mohamed Abdalla (kushoto) alichukua fomu hizo Agosti 13, 2025 ambapo tume inatarajia kufanya uteuzi Agosti 27 mwaka huu. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhan Kailima. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akimkabidhi mkoba wenye fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea wa Kiti cha Rais na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo. Mgombea huyo aliambatana na Mgombea Mwenza, Mhe. Husna Mohamed Abdalla (kushoto) alichukua fomu hizo Agosti 13, 2025 ambapo tume inatarajia kufanya uteuzi Agosti 27,mwaka huu.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Ramadhani Kailima akimuelekeza namna ya kujaza kitabu Mgombea wa kiti cha Rais kutoka Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo.
Mgombea wa kiti cha Rais kutoka Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo akijaza kitabu kuonesha amekabidhiwa fomu hizo.
Mgombea Mwenza, Mhe. Husna Mohamed Abdalla akaisaini kitabu.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza.
Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume, Ndg. Kailima Ramadhani akizungumza wakati wa utoaji huo wa fomu.
Mgombea wa kiti cha Rais kutoka Chama cha Wananchi (CUF), Mhe. Gombo Samandito Gombo.
Mgombea Mwenza, Mhe. Husna Mohamed Abdalla.
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele akizungumza.
Wanachama wa CUF wakiwa ukumbini kushuhudia utoaji wa fomu za uteuzi kwa wagombea wa chama chao.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news