SINGIDA-Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Singida imeokoa zaidi ya shilingi milioni 35 kutokana na ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi ya maendeleo 23 katika sekta za elimu,afya na miundombinu.
.jpeg)
Hayo yamebainishwa kupitia taarifa iliyotolewa na Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Singida, Sosthenes Kibwengo ambapo amefafanua kuwa;
Tags
Habari
PCCB Tanzania
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)
TAKUKURU Singida
TAKUKURU Tanzania

