MARA-Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Tanzania (TAKUKURU) Mkoa wa Mara imeokoa zaidi ya shilingi milioni 50 katika miradi ya maendeleo na uchambuzi wa mfumo.
.jpeg)
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Mara, Bw.Mohamed Sharrif akifafanua kuwa;


