DODOMA-Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Mhandisi Dkt. Prosper Mgaya ametembelea banda la TMA katika maonesho ya Kitaifa ya Wakulima NaneNane 2025 yanayoendelea kufanyika katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma.
Mhandisi Dkt. Mgaya Katika ziara yake banda la Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) aliipongeza kwa kazi nzuri inayofanywa na TMA alisema"Nawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoifanya na watanzania wengi sasa wameweka imani kubwa kwa Mamlaka ya Hali ya Hewa kwasababu utabiri mnaotoa una uhalisia ukilinganisha na kipindi cha nyuma."
Tags
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)
Maonesho ya Nanenane
Tanzania Meteorological Agency (TMA)