ZANZIBAR-Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania bara,ndugu Stephen Masato Wasira aliyefika Ikulu Zanzibar leo Septemba 30,2025.




