Msitha aongoza mapokezi ya mwanariadha Sajini Alphonce Simbu nchini

DAR-Katibu Mtendaji wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT),Bi.Neema Msitha ameongoza mapokezi ya mwanariadha Sajini Alphonce Simbu ambaye ni Bingwa wa mbio za Dunia kwa Wanaume na mshindi wa Medali ya Dhahabu, aliyewasili nchini alfajiri ya Septemba 23, 2025 akitokea Tokyo Japan alikoshiriki mbio hizo.
Mapokezi hayo pia yamehudhuriwa na baadhi ya viongozi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) pamoja na familia yake.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news