Balozi wa Tanzania nchini Kenya, Mhe. Dkt. Bernard Kibesse (kushoto), akipokea Jarida la Hazina Yetu kutoka kwa Afisa Mwandamizi kutoka Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha Bi. Mary Mihigo, alipotembelea ubalozi wa Tanzania nchini Kenya, hivi karibuni.
