HomeBodi ya Ligi Kuu Tanzania Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Desemba 7,2025 DAR-JKT Tanzania wapo kileleni mwa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa alama 17 baada ya kucheza mechi 10 huku nafasi ya pili ikishikiliwa na Young Africans Sports Club ka alama 16 baada ya mechi tano. Tags Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Habari Ligi Kuu ya NBC Michezo Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Facebook Twitter