DODOMA-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan anetoa msamaha kwa maelfu ya wafungwa katika kuadhimisha miaka 64 ya Uhuru wa Tanzania Bara leo Desemba 9,2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.



