ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kufungua Barabara ya Juu (Flyover), Mwanakwerekwe, Wilaya ya Magharibi B , Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja kesho tarehe 06 Januari, 2026 kuanzia saa 3 asubuhi.

