Tanzania imetajwa kushika nafasi ya tisa kati ya nchi za Afrika zenye mazingira bora ya uwekezaji kwa mwaka 2025/2026, kwa mujibu wa ripoti ya Business Insider Africa aliyoisema Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo.
Akizungumza mapema wilayani Bagamoyo mkoani Pwani katika hafla ya utiaji saini wa mikataba ya uwekezaji na utoaji wa Taarifa ya Uwekezaji ya Tanzania 2025, Prof. Kitila alisema hatua hiyo inaonesha imani ya wawekezaji kwa uchumi wa nchi.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo




















