Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans SC (Yanga), wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa NMB Mapinduzi Cup baada ya kuibuka na ushindi wa mikwaju ya penalti 5-4 dhidi ya Azam FC, katika mchezo wa fainali uliochezwa Januari 13, 2026 katika Uwanja wa Gombani kisiwani Pemba.
Mchezo huo uliishia kwa sare tasa (0-0) ndani ya dakika 90 za kawaida, hali iliyomlazimu mwamuzi kuongeza dakika 30 za muda wa nyongeza ili kumpata mshindi, lakini hakuna timu iliyofanikiwa kufunga.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo




























