Uhifadhi na Utalii wa Tanzania sasa unaingia katika kiwango cha juu nchini. Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Uhifadhi la Eneo la Ngorongoro (NCAA),Abdul-Razaq Badru, ameyataja maajabu hayo katika uzinduzi rasmi wa kampeni kabambe ya "Simulizi za Maajabu 7 ya Ngorongoro.





