Mkutano wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), unatarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam siku ya Ijumaa ya Februari 13, 2026.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amesema kuwa, maandalizi kuhusu mkutano huo yamekamilika na kwamba kikao hicho kitaongozwa na Rais wa CAF, Patrice Motsepe.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo
.jpeg)
















