Taarifa muhimu kutoka Jeshi la Polisi Tanzania

Jeshi la Polisi lingependa kueleza kuwa, limeanza kufanya uchunguzi kuhusiana na picha mjengeo inayosambazwa kupitia mitandao ya kijamii wakionekana wanawake wawili wakimpiga mwanamke mmoja kwa kutumia mwiko na kumshambulia kwa maneno kuwa, kwa nini alimdhalilisha mmoja wao kupitia Facebook kuwa, anaiba mambwana za watu.
Jeshi la Polisi linatoa wito kwa yeyote anayewafahamu wanawake hao asisite kuwasilisha taarifa kwa njia anayoona inafaa na rahisi kwake ili kuweza kuwafikia na kuwakamata kwa ajili ya kuwachukulia hatua za kisheria.

Imetolewa na;
Dodoma,Tanzania

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here