Waziri wa Fedha ateta na ujumbe kutoka Taasisi ya Koenig&Bauer

DAR-Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amefanya kikao na ujumbe kutoka Taasisi ya Koenig&Bauer yenye makazi yake nchini Uswisi, inayojihusisha na masuala ya fedha, ukiongozwa na Mkurugenzi wake wa Kanda ya Afrika, Bw. Jan Quitmeyer, kikao kilichofanyika katika Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha zilizoko Mtaa wa Madaraka jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kimehudhuriwa na Washauri wakuu wa Taasisi hiyo, Bi. Sorah Thomhnair na Bw. Ronald Rwankangi pamoja na Kaimu Kamishna wa Idara ya Uendelezaji wa Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha Bi. Dionisia Mjema na Katibu wa Waziri wa Fedha Bw. Abeid Mzee.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here