Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha aongoza kikao cha kujadili miradi ya kipaumbele ya Serikali katika sekta mbalimbali

WASHINGTON D.C-Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dkt. Natu El-maamry Mwamba, ameongoza kikao cha kujadili miradi ya kipaumbele ya Serikali katika sekta mbalimbali itakayofadhiliwa na Benki ya Dunia kupitia Mzunguko wa 21 wa IDA (IDA-21 Cycle).
Kikao hicho kilichowahusisha Tume ya Taifa ya Mipango ikiongozwa na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Mipango ambaye pia ni Katibu Mtendaji wa Tume hiyo, Dkt. Tausi Kida, kilichofanyika katika Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani pembezoni mwa Mikutano ya Kipupwe ya Benki ya Dunia na IMF (2026 IMF/WBG Spring Meetings) inayoendelea jijini Washington DC.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here