DAR-Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Alhad Omari amesema kuwa, Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Vurugu za Oktoba 29 imewapa Watanzania mambo mazuri waliyoyatarajia,hivyo ni muhimu kwa viongozi wa dini kuyahubiri kwa waumini wao ili kujenga upya Tanzania imara na yenye amani.
.jpeg)