Tume imefanya kazi kubwa,imeliponya Taifa-Askofu Dkt.Shoo

DAR-Mkuu wa Kanisa la KKKT Dayosisi ya Kaskazini, Askofu Dkt. Fredrick Shoo amesema, ameipokea ripoti ya Tume ya Uchunguzi kwa furaha kwani imeliponya Taifa kutoka kwenye majeraha yaliyotokea Oktoba 29,2025.
Amesema ni kwa kuongea ukweli na kutoa mapendekezo ambayo Serikali ikiyafanyia kazi basi Tanzania itazidi kuwa kisiwa cha amani.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here