TAKUKURU na TFF wajadili mbinu kudhibiti rushwa Sekta ya Michezo

WADAU wa Mchezo wa Mpira wa Miguu wamefanya kikao kazi kujadili Matokeo ya Uchambuzi wa Mfumo wa Mapato na Matumizi ya Vilabu vya Mpira wa Miguu Nchini.

Kikao hiki kilichofanyika Aprili 1, 2026 kiliwakutanisha Wadau wa Michezo wakiwemo WIZARA YA HABARI, UTAMADUNI NA MICHEZO, TFF, BMT, TRA, NSSF, TTCL pamoja na Klabu za Mpira wa Miguu za Simba, Yanga na Azam.
Katika picha ni wadau hao wakiirejea kwa vitendo, kaulimbiu ya TAKUKURU inayosema: 'Kuzuia Rushwa ni Jukumu Lako na Langu; Tutimize Wajibu Wetu'.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here