Tuache kuwakejeli na kuwatukana wajumbe wa Tume ya Uchunguzi,ni wakubwa na wabobevu-Doyo
DAR-Aliyekuwa mgombea nafasi ya Urais mwaka 2025 kupitia chama cha NLD, Doyo Hassan amewataka Watanzania kuacha mara moja kuwatukana na kuwakejeli Wajumbe wa Tume ya Uchunguzi,kwani kwanza ni wakubwa wa umri na ni wabobevu wa Kimataifa.