Balozi Swahiba Mndeme awasillisha Hati za Utambulisho kwa Mfalme wa Sweden

STOCKHOLM-Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Mheshimiwa Swahiba H. Mndeme, amewasilisha rasmi Hati za Utambulisho kwa Mtukufu Mfalme Carl XVI Gustaf wa Sweden katika hafla maalum iliyofanyika tarehe 22 Mei 2026, kwenye Kasri la Mfalme wa Sweden lililopo jijini Stockholm.
Hafla hiyo ya kidiplomasia ni ishara ya kutambuliwa rasmi kwa Balozi Swahiba kama Mwakilishi rasmi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Sweden.
Aidha, hatua hiyo inafungua ukurasa mpya wa kuendelea kuimarisha uhusiano wa muda mrefu, wa kirafiki na kidiplomasia kati ya Tanzania na Sweden.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here