Magazeti leo Mei 19,2026

Jeshi Polisi mkoani Arusha limesema kwa kipindi cha kuanzia Aprili 18, 2026 hadi sasa, watuhumiwa 176 wamehukumiwa vifungo mbalimbali kwa makosa ulawiti, ubakaji, wizi, dawa za kulevya, kujeruhi, uvunjaji, kupatikana na nyara za serikali na kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu baada ya kufikishwa Mahakamani.
Akitoa taarifa hiyo Mei 18, 2026 Kamanda wa Polisi Mkoani humo, SACP Justine Masejo amesema kati ya waliohukumiwa kwa makosa makubwa, mtuhumiwa 01 alihukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa la mauaji huku mtuhumiwa 01 akihukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa kosa la kulawiti.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here