Mambo muhimu kutoka kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Mheshimiwa Balozi Dkt.Mahmoud Thabit Kombo wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara kwa mwaka wa fedha 2026/2027 leo Mei 26,2026 bungeni jijini Dodoma