Meja Jenerali Nkambi apokea kikosi kilichowakilisha Tanzania jijini Nairobi katika zoezi la Ushirikiano Imara 2026

Mkuu wa Kamandi ya Vikosi Chini ya Makao Makuu ya Jeshi, Meja Jenerali Iddi Said Nkambi kwa niaba ya Mkuu wa Majeshi Jenerali Jacob John Mkunda akipokea Bendera ya Taifa kutoka Kikundi cha Tanzania kinachojumuisha Maafisa wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Polisi, Magereza, Uhamiaji, Zimamoto, Wizara na Taasisi za Kiraia walioshiriki zoezi la 14 la pamoja la vituo vya Uamrishaji vya Kijeshi vya Jumuiya ya Afrika Mashariki - Ushirikiano Imara 2026, Jijini Nairobi katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Brigedi 303 KV, Monduli-Arusha.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here