DAR-Matukio katika picha wakati wa hafla ya uapisho wa Mtendaji Mkuu mpya wa Mahakama ya Tanzania, Dkt. John Anthony Jingu leo Juni 19,2026 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Dkt. John Anthony Jingu kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Juni, 2026.
Dkt. John Anthony Jingu akila kiapo kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Juni, 2026.
Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Dkt. John Anthony Jingu (kulia) akiapa Kiapo cha Maadili pamoja na Karani wa Baraza la Mawaziri Bw. Francis Petro Mossongo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Juni, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na viongozi mbalimbali baada ya kumuapisha Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Dkt. John Anthony Jingu, Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 19 Juni, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Viongozi mbalimbali kwenye picha na Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Dkt. John Anthony Jingu (aliyesimama nyuma), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 19 Juni, 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania Dkt. John Anthony Jingu (kushoto) pamoja na Mtendaji Mkuu Mstaafu wa Mahakama ya Tanzania, Prof. Elisante Ole Gabriel mara baada ya hafla ya Uapisho, Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 19 Juni, 2026.
Tags
Dr John Anthony Jingu
Dr John Jingu
Dr Samia Suluhu Hassan
Habari
Mahakama ya Tanzania
Picha
Picha Chaguo la Mhariri






