Rais Dkt.Samia na Tharman washuhudia utiaji saini wa hati ya makubaliano kati ya Tanzania na Singapore kuhusu uendelezaji ujuzi na rasilimali watu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Rais wa Jamhuri ya Singapore, Mhe. Tharman Shanmugaratnam wakishuhudia utiaji saini wa hati ya makubaliano kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Singapore kuhusu Uendelezaji Ujuzi na Rasilimali Watu inayokusudia kuimarisha mafunzo ya kitaalamu, Ujenzi wa uwezo na kubadilishana uzoefu katika maendeleo ya Rasilimali Watu. Utiaji saini huo umefanywa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete na Waziri wa Nchi, Wizara ya Mambo ya Nje, Familia na Maendeleo ya Jamii Jamhuri ya Singapore, Mhe.Zhulkarnain Abdul Rahim, Juni 9, 2026 Ikulu jijini Dar es salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here