DODOMA-Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linautaarifu umma kuwa leo Juni 27, 2026, majira ya saa 01:00 usiku, kumetokea hitilafu ya kiufundi katika Mfumo wa Gridi ya Taifa ya umeme, hali iliyosababisha mikoa yote inayopata huduma kupitia gridi hiyo kukosa umeme.
