Wizara ya Fedha yavutia wengi Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026

DODOMA-Viongozi na wananchi mbalimbali wameendelea kutembelea Banda la Wizara ya Fedha katika Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2026 yenye Kaulimbiu ya “Kuchochea Uwajibikaji Jumuishi kwa Huduma Endelevu”, yanayoendelea katika Viwanja vya Chinangali Park, jijini Dodoma.
Miongoni mwa viongozi waliotembelea Banda hilo ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Ridhiwani Kikwete, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule, pamoja na Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Fedha, Bw. Lusius Mwenda.
Wageni hao walipata fursa ya kujionea huduma, mafanikio na taarifa mbalimbali zinazotolewa na Idara na Vitengo vya Wizara ya Fedha.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here