Riba ya Benki Kuu ni kiwango kinachowekwa na BoT kama rejea katika utekelezaji wa shughuli zake mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kukopesha benki za biashara. Kiwango hiki huathiri riba za mikopo baina ya benki za biashara, ambazo zinapaswa kuwa ndani ya wigo wa ±2.0% ya riba ya Benki Kuu iliyowekwa.LIVE:Riba ya Benki Kuu (CBR) kwa Robo ya Tatu 2026
Riba ya Benki Kuu ni kiwango kinachowekwa na BoT kama rejea katika utekelezaji wa shughuli zake mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kukopesha benki za biashara. Kiwango hiki huathiri riba za mikopo baina ya benki za biashara, ambazo zinapaswa kuwa ndani ya wigo wa ±2.0% ya riba ya Benki Kuu iliyowekwa.