Mwanasheria Mkuu wa Serikali ashiriki ufunguzi wa Semina Elekezi kwa viongozi wa Serikali

ZANZIBAR-Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mheshimiwa Hamza S.Johari ameshiriki katika ufunguzi wa Semina Elekezi ya Mawaziri,Naibu Mawaziri na Makatibu Wakuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuhusu Umuhimu wa Mawasiliano Serikalini katika Ikulu ya Tunguu,Zanzibar.
Semina hiyo ya siku mbili imefunguliwa Julai 28,2026 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan ambapo amesisitiza kuwa,mawasiliano ni sehemu ya uongozi na nyenzo ya kimkakati ya kulinda maslahi ya Taifa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here