Profesa Kabudi akagua maandalizi ya kuelea Siku ya Mashujaa

DODOMA-Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) Profesa Palamagamba Kabudi amekagua maandalizi kuelekea Siku ya Mashujaa Julai 25, 2026 ambapo ameleza kuridhishwa na hatua ya kukamilika kwa maandalizi hayo.
Waziri Kabudi amekagua leo 24 Julai, 2026 akiongozana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe Dkt. Rhimo Nyansaho pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Patrobas Katambi katika viwanja vya Mashujaa vilivyopo Mji wa Serikali jijini Dodoma.
Aidha, Mgeni Rasmi wa Maadhimisho hayo anatarajiwa kuwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here